Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

Nilijua utasema tuu. Eti wachaga, roho mbayaaa kufa hufi. Wachaga wamekufanya nini? Utakufa huku unawachukia. Mtu akikuzidi usimchukie jitahidi na wewe. Kila kitu hapa tz ni wachaga kuwa hata na aibu basi
nilipoanza kuisoma nilidhani ni nantoombe mushi kumbe ... dwh.ila.wachaga noumer... japo mir mwenyewe wa kaskazini najitahidi kuiga wazaram.nashindwa
 
9e4de33960877ae4b3a16bd6714d6777.jpg

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Karibuni kwentu tanga! Wadigo na wasegeju wanalafudhi nzuri mnoooo tamuu ajabu...
Hivi Wasegeju bado wapo?
Nilisoma mahali mwaka 2006 Unesco wakisema ni moja ya makabila yanayokaribia kutoweka
 
Mburu akiongea kama huna speed ya kusikiliza...utakuwa unasikia tweeter.
 
Napenda kuskia watu wa pemba wakiongea yaani wale wapemba hasa

Pia napenda lafudhi yetu ya ki zanzibar tanga Na mombasa
Mimi huwa napenda unavyoandika

Hivoo...
Chengine...

Nikisikia sauti yako naweza kuzimia kabisa. Nitumie kama hutajali
 
Wachagga wana rafudhi nzuri utasikia;

"Aisee nimejitahidi kwel kwel nakata roho bank nina milioni 15" [tamka kichagga]
 
Ukimpata demu mkali mwenye lafudhi ya kwao na ukampenda lazima uisifie lafudhi ya kabila lao kwa vyovyote vile. Kwa hiyo hakuna wa kuongea kwa usahihi humu. Kila mtu atavutia kwake
 
wamakonde wana lafudhi mbaya lakin watu wanaipenda kichawachawa....

yani chichi kule ketu mm nikipata mchiko bas watu wananiechimu ile kinoma, yan mm ndo nstaarabu.
 
Back
Top Bottom