Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
nilipoanza kuisoma nilidhani ni nantoombe mushi kumbe ... dwh.ila.wachaga noumer... japo mir mwenyewe wa kaskazini najitahidi kuiga wazaram.nashindwaNilijua utasema tuu. Eti wachaga, roho mbayaaa kufa hufi. Wachaga wamekufanya nini? Utakufa huku unawachukia. Mtu akikuzidi usimchukie jitahidi na wewe. Kila kitu hapa tz ni wachaga kuwa hata na aibu basi