Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

mie mombasa na tanga naweza lala nikisikiza wakiongea.... wamakonde wapemba wanichekesha
Nawapenda wadigo wanavyoongea hasa waongee kidigo napenda sana wa tanga wasambaa wabondei ndio hua wnanuchekesha wengine watu wa unguja jamani wananipa shidaa
 
S
Kihaya bana ndio mpango mzima
Sikutegemea ndan ya comments 3 za mwanzo kihaya kisitajwe. Lakin naona kadri unavyoelekea magharib mwa Tanzania ndivyo na kiswahili kinavyopata lafudhi ya kuzorota mno. Kama ya kishamba vile. Ukiwa burund mf mtaa wa buyenz utacheka sana. Waganda kiswahili kiligoma kabsa bora drc.. Na drc goma ndo bas tena had misamiat isiyopatkana kwenye kamus.
 
mtoa mada anachotaka ni wewe binafsi...personally...utaje lafudhi unayoichukia na unayoipenda..fullstop
 


Lafudhi za kuchekesha ni: kichagga, kiha, kihaya, kinyambo, kisukuma, kimakonde, kifipa, kipemba (kigunya), kihindi, kiluguru (Khaaa).
 
Reactions: nao
Nilijua utasema tuu. Eti wachaga, roho mbayaaa kufa hufi. Wachaga wamekufanya nini? Utakufa huku unawachukia. Mtu akikuzidi usimchukie jitahidi na wewe. Kila kitu hapa tz ni wachaga kuwa hata na aibu basi
Kwan wachaga nao wamekua mkuu wakaya hadi wasikosolewe, ilikua sijui hili
 
mtoa mada anachotaka ni wewe binafsi...personally...utaje lafudhi unayoichukia na unayoipenda..fullstop
Bas sawa! Naona kuna na vya kuichukia lafudhi ya mtu mwingine. ( au mi ndo sielew tofauti ya kutopenda kitu na kukichukia kitu!)
 
LAFUDHI kuongea kiingereza huku lugha ya asili ikigonga hii ndiyo huchekesha zaidi.
 
[QUOTsubito ax, post: 16675792, member: 173103"]Lafudhi mbaya ni ya kizenji na ya kizaramo[/QUOTE]
Sasa subiri tufungue
 
Watindiga au hadzabe na ili "click" language utaipenda Bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…