Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Master plan empty kwa mamlaka Kila kitu bora liende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GentaMakaburi zaidi ya 600 yaliyopo Kata ya Kipawa Dar es Salaam yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kwa sasa, usajili wa ndugu unaendelea ili kufanikisha shughuli ya kuyahamisha.
Chanzo: azamtvtz
Kwa tuliowahi kuishi Ilala na wale ambao mnaishi hadi leo nadhani mtakuwa ni Mashuhuda wazuri wa Mambo gani yalitokea na yanatokea hadi leo baada ya Zoezi hili la Kikatili kufanyika katika Makaburi ya Karume miaka mingi iliyopita.