Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

Genta
Umesahau mipango mingi ya mamlaka zetu hufanyika na kuweka kwenye makabati? Wakati wa utekekezaji ndo wanakurupuka na ushubwada kama huo.


Hapo kwenye kuhamisha makaburi kuna 10% za watu na makaburi ya ziada, ndo urefu wa kamba zao
 
Hata yale ya Kigilagila yatakuja kuhamishwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…