Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwahiyo makaburi yao huwa wanayaziba tu na zege?Ya Kikristo hayagusani lakini ya kiislamu yanagusana na udongo
Waislam hawaweki majeneza unaingia wewe kama wewe na sanda yako na unawekewa udongo kama kawaidaYa Kikristo hayagusani lakini ya kiislamu yanagusana na udongo
Sio viongozi tu wengi mbna huzika hivyo kwa wakristo siku hizi hawaweki udongoKwahiyo makaburi yao huwa wanayaziba tu na zege?
Ni wazi miili huchukua muda mrefu kuharibika.Sio viongozi tu wengi mbna huzika hivyo kwa wakristo siku hizi hawaweki udongo
Mwili unaoza tu hata ukiuweka hewaani 😅😅Ni wazi miili huchukua muda mrefu kuharibika.
Hilo liko wazi.Mwili unaoza tu hata ukiuweka hewaani 😅😅
Wenzetu hapa mko sahihi sana.Mafundisho ya dini ya kiislam hakuna ubaguzi kwenye Ibada, Ispokuwa Hija na Zakkah.( Zakah na Hijja vitafanywa na wenye uwezo)...
Maisha yote ya waislamu yana mwongozo.Wenzetu hapa mko sahihi sana.
Akilazwa tofauti, shida ni nini kwa mujibu wa imani yenu?
Naskia ukidungwa chanjo mwili hàuozi?Mwili unaoza tu hata ukiuweka hewaani 😅😅
Chanjo ya COVID niliipinga na nitazidi kuipingaNaskia ukidungwa chanjo mwili hàuozi?
Kila siku tunawafukia wenzetu wakirito kwa koleo masanduku yao ushushwa kwa kamba mpaka chini kisha ushindiliwa na udongo ss waisilamu atuziki mfu kwenye sanduku bali tuna mvilingisha kwenye nguo kisha tuna weka mbao juu yake au nyasi lakini mbao hizo azigusani na mfu kisha tuna fikia udongo habari inaishia hapoYa Kikristo hayagusani lakini ya kiislamu yanagusana na udongo
Huyo ni mkirito kajibu bila kujua alicho ulizwaKwahiyo makaburi yao huwa wanayaziba tu na zege?
Kwahiyo makaburi yao huwa wanayaziba tu na zege?
Kuna style ya ujenzi siku hizi kaburi likishajengwa kwa tofali baada tu ya usawa wa jeneza unawekwa mfuniko wa zege alafu baada ya hapo unawekwa udongo hadi juu.Waislam hawaweki majeneza unaingia wewe kama wewe na sanda yako na unawekewa udongo kama kawaida
Hii ni style ya wakristo au waislam..Kuna style ya ujenzi siku hizi kaburi likishajengwa kwa tofali baada tu ya usawa wa jeneza unawekwa mfuniko wa zege alafu baada ya hapo unawekwa udongo hadi juu.