Makaburu warejeshewe usukani wa utawala wa Afrika Kusini?

"BACK PEOPLE are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN as white people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.


[Emphasis is added]
 
Akili za kitoto always hupenda mitelezo na vyakupewa, jengeni nchi zenu msipende vya bure.

Kuna mijinga mingi na mitoto humu haijuwi bado madhara ya Utumwa/kuongozwa chini ya Ukoloni, mngeyajua madhara yaliyowafanya babu zenu kufa wakipambania huu uhuru mnaoutumia vibaya leo mngeacha kutoa Post za kishenzi kama hizi.

Narudia tena, wengi bado hamjaijua vizuri historia na madhara ya Ukolon, msidanganyike na hizo social services walizoprovide hao wakolon maana zilitolewa kwa upendeleo haswa kwa wao wenyewe na baadhi ya watu weusi wenye influence kwa jamii ya watu weupe.

Kiufupi miundombinu yote haikuwa kwaajili yenu bali kwao wenyewe kuraisisha ujambazi wa resources zenu.

Amkeni enyi wapumbavu maendeleo ya nchi yenu yataletwa na ninyi wenyewe.
 
Kwa Tz, ni aheri mkoloni mzungu kuliko huyu mkoloni aliyopo hivi sasa.
 
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa Uchawa na ITOBOE au Uchama . Afrika kumejaa Uchama, Udini, Ukanda, yaani ni Full Ubinafsi bila kufuata ueledi na hii imekaa mioyoni na tunairithisha.
Wee angalia kitacholetwa na Kamati iliyoundwa ya Mipango naDira na jinsi kitatekelezwa.
Kila tukio linaundiwa kamati as if hakuna wizara na idara zinazo deal na jambo hilo. F*ck*n
 
Hata miaka ya 90 hakuna alie muona kaburu.Zilikuwa stori za kusikia kwenye redio na TV na movie ya SARAFINA. Labda kama aliishi SA.
Unaweza ukawa umewajua vizuri kuliko sisi tuliosikia tu na kusoma historia ya apartheid kama wewe.Asikutishe.
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
umesema vizuri mkuu.

ni hivi nchi imeharibiwa na macomrades ile. wamegawana hadi mbegu
 
Tatizo la Waafrika si la kimaumbile! Halihusiani na ubongo. Ni tabia ya kujifunza.

Na kwa sababu ni tabia ya kujifunza, wanaweza kubadilika kwa kujifunza tabia mpya.
 
Hiyo haitakaa itokee tena mkuu
Itokee mara ngapi mkuu? Umeshatokea but tofauti ni kwamba yenyewe ni ya kiuchumi, yaani sasa hivi tunatawaliwa left, right and center kiuchumi na hawa jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…