Makachu divers wahamia Dar baada ya kutimuliwa Zanziber

Yaani vipaji hatuendelezi bali tunazuia bila kuwapa alternatives
 
Wamekuja kwa mwaliko maalum mkuu.

Zanzibar wameshawekana sawa. Watarudi kuendelea na ukachu wao
 
Ina mzuka wake sana hiyo, utotoni mpaka umri fulani ilikuwa watoto wa mtaani kwetu hutuambii kitu, ikifika jioni.
Kutoka home mpaka ufukweni hazizidi mita 500,tulikuwa addicted na michezo hiyo na beach soccer, maji yakitoka huwa kuna kuwa na ardhi fulani ngumu ngumu halafu imenyooka sana, uzuri eneo tunaloishi fukwe yake hakuna mawe mawe.
Hapo tunatoka home pekupeku, kwenda na viatu ni kama kujipa mzigo, ni pekupeku na nguo za bichi tumevaa kabisa, kipensi na jezi ama vest, tukifika huko kazi ni moj tu, tynacheza mpira weee, kisha jua linapoanza kuzama, mpira tunaumaliza ni mwendo wa kupiga michomo tu.

Now days inaweza katika miaka hata mi3 nikawa sijafika beach.
 
zanziber?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…