Makada 19 wa CHADEMA waachiwa huru Mwanza

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo Jijini Mwanza wameachiwa huru.

Wana CHADEMA hao wameachiwa huru leo Jumatano Juni Mosi, 2022 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo namba 77/2021.

Kwa mara ya kwanza, wanachama hao walifikishwa Mahakamani Agosti 19, 2021 wakidaiwa kutenda kosa hilo Agosti 15, 2021.

Washtakiwa kwa pamoja walidaiwa kuhudhuria Misa ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo wakiwa wamevaa sare za chama chao na fulana nyekundu zilizoandikwa Katiba Mpya.
 
Wakapunguze kupigania wanashindwa ikulu

USSR
 
Mbowe anakula bata ikulu wewe unanyanyua kongoro zako kwenda kufanya fujo, hapo watakuta wake zao waja wazito, watoto wameacha shule au Wana kifaduro, ujinga mtupu. Wameonja moto wa dola
 
Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo Jijini Mwanza wameachiwa huru.

Wana CHADEMA hao wameachiwa huru leo Jumatano Juni Mosi, 2022 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo namba 77/2021.

Kwa mara ya kwanza, wanachama hao walifikishwa Mahakamani Agosti 19, 2021 wakidaiwa kutenda kosa hilo Agosti 15, 2021.

Washtakiwa kwa pamoja walidaiwa kuhudhuria Misa ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo wakiwa wamevaa sare za chama chao na fulana nyekundu zilizoandikwa Katiba Mpya.
Jo njoo Kuna habari ambayo wewe, Kiturilo na wenzenu itawafanya mnune🏃
 
YAANI HUU UJINGA CHADEMA SIJUI WATAACHA LINI YAANI UNAPOTEZA MUDA WAKO KWA MAMBO YA KIJINGA ONA TANGU 2021 UNAQSOTA RUMANDE AKILI ZA MATAKONI KABISA HIZO
 
Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo Jijini Mwanza wameachiwa huru.

Wana CHADEMA hao wameachiwa huru leo Jumatano Juni Mosi, 2022 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo namba 77/2021.

Kwa mara ya kwanza, wanachama hao walifikishwa Mahakamani Agosti 19, 2021 wakidaiwa kutenda kosa hilo Agosti 15, 2021.

Washtakiwa kwa pamoja walidaiwa kuhudhuria Misa ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo wakiwa wamevaa sare za chama chao na fulana nyekundu zilizoandikwa Katiba Mpya.
Maridhiano
 
Mungu ibariki Chadema
 
Back
Top Bottom