Pre GE2025 Makada Chadema wajitosa kumshawishi Mbowe atetee uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo.

Hadi sasa Mbowe hajaweka wazi kama atawania nafasi hiyo au la.
IMG_1756.jpeg

Mmoja wa waratibu wa mchakato wa kwenda kwa Mbowe aliyeomba jina lake lisitajwe ameieleza Mwananchi Digital kuwa wanajipanga kwenda kuonana na Mbowe nyumbani kwake.

"Tukio la kwanza kwenda nyumbani kwake leo saa tano asubuhi kumuomba agombee uenyekiti wa chama. Kutakuwa pia na viongozi mbalimbali wanaokwenda kumuomba Mbowe agombee tena uenyekiti, akikubali tutakwenda kumchukulia fomu makao makuu.

"Kwa sasa hatujaona mtu mwenye sifa ya kuwa kiongozi zaidi yake. Mbowe atasema atakubali kugombea au la, akikubali ataletewa fomu kwa ajili ya kuijaza," amesema.

Tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu amechukua fomu kugombea nafasi hiyo.

Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
 
Nendeni kwa sultan wenu. Hamna hata akili!!
Kwa unyenyekevu mkubwa,muulizeni baada ya kuongoza 20yrs!!
Nikitu gani ambacho bado hajafanya mkamchukulie fomu
 
Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo.

Hadi sasa Mbowe hajaweka wazi kama atawania nafasi hiyo au la.

Mmoja wa waratibu wa mchakato wa kwenda kwa Mbowe aliyeomba jina lake lisitajwe ameieleza Mwananchi Digital kuwa wanajipanga kwenda kuonana na Mbowe nyumbani kwake.

"Tukio la kwanza kwenda nyumbani kwake leo saa tano asubuhi kumuomba agombee uenyekiti wa chama. Kutakuwa pia na viongozi mbalimbali wanaokwenda kumuomba Mbowe agombee tena uenyekiti, akikubali tutakwenda kumchukulia fomu makao makuu.

"Kwa sasa hatujaona mtu mwenye sifa ya kuwa kiongozi zaidi yake. Mbowe atasema atakubali kugombea au la, akikubali ataletewa fomu kwa ajili ya kuijaza," amesema.

Tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu amechukua fomu kugombea nafasi hiyo.
Akipata uenyekiti matumbo yao yatakuwa salama
 
Kumbe ndio sababu Lucas Mwashambwa ameshuka Magufuli Bus Terminal na bus la Machame express Leo 😃😃😃
 
Hii sinema ni nzuri sana. Kwa hiyo, ataishia kusema, Ni kweli ndugu zangu mnahitaji nigombee, lakini naamua kung'atuka rasmi. Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoz! Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoz! Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoz! Asanteni sana.
 
Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo.

Hadi sasa Mbowe hajaweka wazi kama atawania nafasi hiyo au la.

Mmoja wa waratibu wa mchakato wa kwenda kwa Mbowe aliyeomba jina lake lisitajwe ameieleza Mwananchi Digital kuwa wanajipanga kwenda kuonana na Mbowe nyumbani kwake.

"Tukio la kwanza kwenda nyumbani kwake leo saa tano asubuhi kumuomba agombee uenyekiti wa chama. Kutakuwa pia na viongozi mbalimbali wanaokwenda kumuomba Mbowe agombee tena uenyekiti, akikubali tutakwenda kumchukulia fomu makao makuu.

"Kwa sasa hatujaona mtu mwenye sifa ya kuwa kiongozi zaidi yake. Mbowe atasema atakubali kugombea au la, akikubali ataletewa fomu kwa ajili ya kuijaza," amesema.

Tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu amechukua fomu kugombea nafasi hiyo.
Ccm nabtiss wako kazini

Hivi kwanini tiss kazi yake kuu ni kuujumu wapinzani?
 
Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo.

Hadi sasa Mbowe hajaweka wazi kama atawania nafasi hiyo au la.
View attachment 3179431
Mmoja wa waratibu wa mchakato wa kwenda kwa Mbowe aliyeomba jina lake lisitajwe ameieleza Mwananchi Digital kuwa wanajipanga kwenda kuonana na Mbowe nyumbani kwake.

"Tukio la kwanza kwenda nyumbani kwake leo saa tano asubuhi kumuomba agombee uenyekiti wa chama. Kutakuwa pia na viongozi mbalimbali wanaokwenda kumuomba Mbowe agombee tena uenyekiti, akikubali tutakwenda kumchukulia fomu makao makuu.

"Kwa sasa hatujaona mtu mwenye sifa ya kuwa kiongozi zaidi yake. Mbowe atasema atakubali kugombea au la, akikubali ataletewa fomu kwa ajili ya kuijaza," amesema.

Tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu amechukua fomu kugombea nafasi hiyo.
Hiyo ndo stail ya mbowe, kukusanya vikundi vya machawa wake, kujifanya wanamtaka agombee😂😂
 
Hii sinema ni nzuri sana. Kwa hiyo, ataishia kusema, Ni kweli ndugu zangu mnahitaji nigombee, lakini naamua kung'atuka rasmi. Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoz! Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoz! Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoz! Asanteni sana.
Haahaa mbowe huyu huyu au mwingine?😂😂
 
Back
Top Bottom