Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Maji safi na salama ni janga la kitaifa. Miaka 60 ya uhuru mnashindwa kusambaza maji safi na salama. Mfano ni mji kama Chato upo kma moja karibua na ziwa lakini wananchi hawapati maji safi na salama.
Elimu imeporomoka mithili ya barafu mlima kilimanjaro. Mmjejenga mashule kibao ya kata. Lakinj ubora wa elimu ni wa hovyo kabisa. Watoto wanamaliza fomu foo hawaajui hata kuandika. Hawajui hata Kenya kama ipo Africa.
Mitaani hali ya uchumi ni mbaya kuliko. Mama ntilie wanadaiwa na kausha damu, walimu wapo hoi wanadaiwa na kausha damu. Madaktari wamebakiza kuishi kwa.matumaini. Taifa lina uchumi mfu. Ambao hata ukiwekeza kutoboa mpaka udaiwe na kufirisika.
Wapi sasa CCM imeleta mafanikio zaidi kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kujikita madarakani.