Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
Unfortunately kwa individual, tax inakua kwenye sales.Mkuu
Umekokotoa vizuri sana, sasa hapo faida ya mfanyabiashara ndio imepigiwa hesabu au ni mtaji? Vip kuhusu matumizi na kodi ya pango, hata kama faida yote kwa mwaka ni 10% ya mauzo basi utakuwa unaifanyia kazi TRA, kodi kubwa sana hiyo
Ukihamia kwenye entity ndio kuna kuondoa matumizi, cost, kodi ya pango na kila kitu.
Na hapa utajikadiria mwenyewe kwenye mfumo wa e-filing.
Ila kuna mengi ya kudeal nayo hapa.
Mhasibu, audit firm, kuandaa vitabu, proof za kila cost