Ndugu zangu natarajia kujenga josho kwa ajili ya kuogeshea mifugo yangu ipatayo Ng’ombe 300 na mbuzi 600.hivyo naomba mwenye ramani pamojana mahitaji ya ujenzi ili niweze kuitimiza ndoto hii.Kimsingi lichen ya kulitumia mwenyewe,nategemea pia kuliendesha kibiashara kwa kuoshea pia mifugo ya majirani wanaonizunguka