Makadirio ya ujenzi wa Josho

Makadirio ya ujenzi wa Josho

Kimeo

Member
Joined
May 19, 2009
Posts
77
Reaction score
13
Ndugu zangu natarajia kujenga josho kwa ajili ya kuogeshea mifugo yangu ipatayo Ng’ombe 300 na mbuzi 600.hivyo naomba mwenye ramani pamojana mahitaji ya ujenzi ili niweze kuitimiza ndoto hii.Kimsingi lichen ya kulitumia mwenyewe,nategemea pia kuliendesha kibiashara kwa kuoshea pia mifugo ya majirani wanaonizunguka
 
Andaa roughly million 30 Kwa josho . Mimi ni mtaalam wa Mifugo Ila sio engineer ningekuwa Jirani na ofisi ningekutafutia Ramani . Ila Kwa sasa sipo Tz. Wapo watakaokusaidia au nakushauri tembelea ofisi za Mifugo zilizopo Jirani na wewe watakusaidia na kukupa ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sana kwa Mwanga ulionipatia
 
Back
Top Bottom