Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

Najiuliza kwa nini serikali awamu ya Tano haikujishughulisha kabisa na kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda? na hii ya awamu ya Sita mbona ipo kimya as if kupotea kwa hawa vijana ni jambo tu la kawaida?
 
Waliopotea Ni wengi hapa Tanzania,
Yeye si wakwanza kupotea
Mijini na vijijini watu wanapotea!

Iweje unaona yeye Ni special case ya kushughulikiwa na Serikali?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tulipoteza vijana mwenye akili sana siasa hizi jamani tukiongozwa na akili dogo.
 
Back
Top Bottom