munyambilisi
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 192
- 71
Nimechelewa kusoma mambo mengi aliyoandika Ben Saanane Nachelea kusema ni mtu aliyekua na Maarifa mengi Sana. Kokote aliko MUNGU ampe Rehema zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Mwamba alikua ni HAZINA YA TAIFA, ajabu ni kwamba watu design ya Tale ndio wanawakilisha wananchi.!Nimechelewa kusoma mambo mengi aliyoandika Ben Saanane Nachelea kusema ni mtu aliyekua na Maarifa mengi Sana. Kokote aliko MUNGU ampe Rehema zake.
Bashite ana info zote,asubiri kuliwa nyama tuuIpo siku ukweli utadhihiri!
Wauaji wataomba msamaha na kutubu.
Kiongozi wao anapigwa chepe soon
Nimeichukua KUISOMA kama makala MUHIMU (Printed)umenena ya heri Komredi Ben Saanane. RIP Alphonce Mawazo
Font fed
Hii miamba bado tuliihitaji sana.Nikisoma habari za Alphonce Mawazo na Ben sa8 lazima nitokwe na machozi,Mungu awarehemu na atupe neema ya kusimamia imani na utu wao kwetu.R.I.P legends,we a missing u in democratic battle
Upo sahihi kabisaHii miamba bado tuliihitaji sana.
Tatizo ni kukosekana kwa umakini, tahadhari, ubunifu na uangalifu wa kufanya siasa ikapelekea hawa vijana wadogo kupotea wakati bado tunawahitaji sana katika taifa letu.
Siasa ni hesabu, kwa aina ya siasa za nchi yetu ukitumia nguvu zaidi ya busara na uangalifu ni lazima uumie.
Haya majembe yalitakiwa yalindwe na chama kwa kuwekewa watu wa kuwapa miongozo ya namna ya kutumia vipaji vyao bila kupata madhara binafsi.
Vyama vya siasa(hasa upinzani) vina jukumu la dhati kabisa kulinda vijana haswa wenye mwamko wa kimapinduzi ambao ni tunu ya taifa wasipate tena madhara kama hawa.
Wakati Mwl. Nyerere akiwa kwente harakati za kupigania uhuru, alikywa na jopo la wazee wa kumshauri na kumwongoza, kama isingekuwa hivyo mwalimu wangeweza kumwua na uhuru tukakosa kwa wakati ule.
Siasa ni vita vya kugombania maslahi kati ya vingozi wa vyama husika..vijana wasiendelee kuwa mbuzi wa kafara!
Unaandika ukiwa wapi? Na JPM naye alitakiwa afe ili nchi iwe na amani ama nimekuelewa vibaya?Hao vijana walistahili "kupotea" Ili nchi iwe na amani kama ilivyo Sasa.
Alipoanza kuua wanaompinga nikajua mwisho wake hauko mbali. Kwanza Mungu alimwongezea Muda baada ya unabii wa Lema àmbao ulikuwa sahihi kabisa. Bado TRAB&TRAT ambaye anadhani kuzimisha watu kutampa Urais.Heavy stuff!! So sad.
Kweli ilikuwa makala nzito sana toka kwa Ben kumhusu Mawazo; wote wawili ni marehemu kwa sasa - na wote walizimishwa na Boss wa Awamu ya Tano. Ambaye naye sasa ni marehemu vile vile.
Kweli Mwenyezi MUNGU anabaki kuwa MUNGU tu. Anastahili kuogopwa mno.
Duniani humu sote ni wasafiri; tunapita upesi kuliko kivuli cha asubuhi. Tujifunze.
Tujipatie mioyo ya hekima, Tujue kuhesabu na kutumia vizuri/ kwa uangalifu muda/siku na maisha tuliyopewa.
Jinai haifi. Damu zote zisizo na hatia zilizomwaga zitalipwa - kikamilifu.
RIP Ben Saanane. RIP Alfonce Mawazo!