Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Kama alivyopote yule Shetani wa Chato.Hao vijana walistahili "kupotea" Ili nchi iwe na amani kama ilivyo Sasa.
Na kama anavyoendelea kuishi babaako hoehae kapuku asiye na mbele wala nyuma anayetegemea kamshahara Kako mwanae ka ualimu!Kama alivyopote yule shetani wa Chato.
Waliopotea Ni wengi hapa Tanzania,Najiuliza kwa nini serikali awamu ya Tano haikujishughulisha kabisa na kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda? na hii ya awamu ya Sita mbona ipo kimya as if kupotea kwa hawa vijana ni jambo tu la kawaida?