MAKALA: Hili la Perfume, Diamond ataandika historia nyingine muhimu kwake

MAKALA: Hili la Perfume, Diamond ataandika historia nyingine muhimu kwake

unajua brand watu wanachukulia poa sana.unapo taka kutoa product yako hakikisha inajitegemea sio kuweka jina la msaani au mtu maarufu ni kwa nini zina kufa.kuna watu au sio kila mtu hata kukubali kwa kuweka jina lako kwenye product mfano mzuri tu hapa kwetu brand nyingi za vitu zimekufa au kupotea kwa kuweka majina ya watu mfano dada jide na maji yake,wanao kunywa mo faya imeandikwa alikiba unazani team dimond watakubali kunywa.ndo maana brand ina nguvu kuliko hata kampuni yenyewe.leo tukusema nike,cocacola,samsung,nokia n.k basi uwezi kumfanya mtu kuwa hii brand ni ya nani
 
imebaki story.... hakukuwa na marketing research iliyofanywa

kama mashabiki wake wameshindwa kununua nyimbo kwa sh 300 toka kwenye ile websie aliyoianzisha ndio wataweza kununua perfume kwa $45+
 
Back
Top Bottom