chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
unajua brand watu wanachukulia poa sana.unapo taka kutoa product yako hakikisha inajitegemea sio kuweka jina la msaani au mtu maarufu ni kwa nini zina kufa.kuna watu au sio kila mtu hata kukubali kwa kuweka jina lako kwenye product mfano mzuri tu hapa kwetu brand nyingi za vitu zimekufa au kupotea kwa kuweka majina ya watu mfano dada jide na maji yake,wanao kunywa mo faya imeandikwa alikiba unazani team dimond watakubali kunywa.ndo maana brand ina nguvu kuliko hata kampuni yenyewe.leo tukusema nike,cocacola,samsung,nokia n.k basi uwezi kumfanya mtu kuwa hii brand ni ya nani