Makala: Juma Nature, Sinta walivyozua balaa kwenye uzinduzi wa ‘Ugali’ (TBT)

Miongoni mwa albamu bora kabisa za kibongo ambazo nilizinunua wakati huo (bei ilikuwa 1 200/- tsh).
Alipokuja Kilimanjaro show. Aliiipgia Aventure Africa. Na mlangoni ulikuwa unapewa ugali wako kabisa uzame nao ndani.
 
Kabisa
 
Ugali na mboga gani Man
 
Nature wkt anazibdua album yake ya Ugali mafuriko yake yalikua sio ya nchi hii ila at the end of the day aliishia kununuliwa na Fella gari zile benzi'macho ya panzi' ya kutoka S/Africa kama malipo ya album yake na mchezo ukaishia pale.
Fela kala sana jasho la wasanii
 
Ukumbi wa dhando hivi bado uko[emoji1787][emoji2]pale meta kwa mbele kabla hujafika forest
 
Enzi zlle wasanii na bangi ilikuwa ni kama chanda na pete

Siku hizi wasanii na kuliwa viboga imekuwa kama bangi enzi zile
 
naikumbuka ile single ya mtoto Idd kazua balaa ila Juma alikuwa anacopy sana beat za nje ila kibongo bongo aliuchangamsha sana mziki baada ya akina Sugu kustaafu na kwenda kuuza bange US
 
Wasanii wa zamani kilichowaharibia ni usela mavi na mibangi ya kipuuzi. Wale waliokuwa wanajiheshimu hadi leo hii wako vizuri kiuchumi. Wasela mavi wote hata waliokuwa na vipaji wameishia pabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…