Makala: Juma Nature, Sinta walivyozua balaa kwenye uzinduzi wa ‘Ugali’ (TBT)

Makala: Juma Nature, Sinta walivyozua balaa kwenye uzinduzi wa ‘Ugali’ (TBT)

Miongoni mwa albamu bora kabisa za kibongo ambazo nilizinunua wakati huo (bei ilikuwa 1 200/- tsh).
Alipokuja Kilimanjaro show. Aliiipgia Aventure Africa. Na mlangoni ulikuwa unapewa ugali wako kabisa uzame nao ndani.
 
Kabisa
 
Ugali na mboga gani Man
 
Nature wkt anazibdua album yake ya Ugali mafuriko yake yalikua sio ya nchi hii ila at the end of the day aliishia kununuliwa na Fella gari zile benzi'macho ya panzi' ya kutoka S/Africa kama malipo ya album yake na mchezo ukaishia pale.
Fela kala sana jasho la wasanii
 
Nakumbuka DOLO alitaka pigwa MBEYA kama si TEMBA kutuliza ghasia.

Wahuni wamemvuta NATURE toka ukumbuni ndani ya Dhando Mbeya wanamrusharusha juu Dolo akajidai kuongea mambo mbofumbofu watu wakampiga na makopo ya bia Mh.Temba akawatuliza wana wakatulia na NATURE akawapa Burudani.

NATURE alikuwa ni msanii ambaye alikuwa akifika sehemu anakula na wana vitu kisha anaenda jukwaani.
Ukumbi wa dhando hivi bado uko[emoji1787][emoji2]pale meta kwa mbele kabla hujafika forest
 
Kuhusu uzinduzi wa Album nakumuka nilikuwa na miaka 17, nilienda show ilitawaliwa na wasanii wa BONGO RECORDS tupu, wale wa master j wa J RECORDS hakuwepo hata mmoja, JAY MOE NA DULLY SYKES walifunika siku hiyo, nilipoenda chooni kukojoa nilikuta wasanii wote wanavuta bangi kasoro mike tee, zay b na LWP
Enzi zlle wasanii na bangi ilikuwa ni kama chanda na pete

Siku hizi wasanii na kuliwa viboga imekuwa kama bangi enzi zile
 
naikumbuka ile single ya mtoto Idd kazua balaa ila Juma alikuwa anacopy sana beat za nje ila kibongo bongo aliuchangamsha sana mziki baada ya akina Sugu kustaafu na kwenda kuuza bange US
 
Wasanii wa zamani kilichowaharibia ni usela mavi na mibangi ya kipuuzi. Wale waliokuwa wanajiheshimu hadi leo hii wako vizuri kiuchumi. Wasela mavi wote hata waliokuwa na vipaji wameishia pabaya.
 
Back
Top Bottom