MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara

MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara

Kampuni ipi bado hueleweki? An individual is not a company
Kwenye swali namba mbili niliandika hivi...
2. JE nikisajili kama individual nitaweza vipi kutengenisha mapato ya biashara na yale kazi ajira yangu (salary)?
Kwa lugha rahisi nilikua naongelea kama nikisajili kampuni as "sole propriator/individual" na sio "share/Ltd". Yes Individual...
 
Mabadiliko ya sheria juu ya mfanyabiashara wa mauzo kuanzia mil 11 anunue mashine ya kielektroniki ya risiti ie efd machine badala ya mil 14 ilivyokuwa awali
IMG-20220205-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom