Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwenye swali namba mbili niliandika hivi...Kampuni ipi bado hueleweki? An individual is not a company
Kwa lugha rahisi nilikua naongelea kama nikisajili kampuni as "sole propriator/individual" na sio "share/Ltd". Yes Individual...2. JE nikisajili kama individual nitaweza vipi kutengenisha mapato ya biashara na yale kazi ajira yangu (salary)?
Hapo husajili kampuni bali jina la biasharaKwenye swali namba mbili niliandika hivi...
Kwa lugha rahisi nilikua naongelea kama nikisajili kampuni as "sole propriator/individual" na sio "share/Ltd". Yes Individual...
Nashukuru mkuu kwa muongozo!!Hapo husajili kampuni bali jina la biashara
Mkuu habari yako.Mabadiliko ya sheria juu ya mfanyabiashara wa mauzo kuanzia mil 11 anunue mashine ya kielektroniki ya risiti ie efd machine badala ya mil 14 ilivyokuwa awaliView attachment 2108481