Makala: Mfahamu Simba Karatasi wa Umakondeni

Mkuu tuondolee hayo mabano tafadhali!

Ikawa na nini?
Povu?
Chumvi?
Maji?
...?
 
Mkuu tuondolee hayo mabano tafadhali!

Ikawa na nini?
Povu?
Chumvi?
Maji?
...?
Acha niishie hapo, kumbuka tunaangazia biashara za watu, hivyo isijetokea mtu akakutana na hicho ambacho nimeacha kukiandika ikaleta taswira hasi.

Kuna mengine si busara kuongea kwenye hadhara, ikibidi sana labda PM.
 
Kweli mkuu Mimi ninatamani kufahamu.

Nipm ikibidi๐Ÿ™
 
Reactions: K11
Acha niishie hapo, kumbuka tunaangazia biashara za watu, hivyo isijetokea mtu akakutana na hicho ambacho nimeacha kukiandika ikaleta taswira hasi.

Kuna mengine si busara kuongea kwenye hadhara, ikibidi sana labda PM.
Mkuu, lakini utasaidia wengi ukiandika hapa.

Wanasema, "akili za kuambiwa changanya na zako".

Waliomo humu wana akili zao, watachanganya na kupata jibu walihitajilo.
 
Reactions: K11
Moto huu huu unaoangaza au Moto wa kiini macho tu? Unaposema alizikwa mtu asiyeonekana unamaanisha nini haswa?
 
Mtu anakuwaje simba na nyie acheni kutupanga
Baki na elimu hiyo hiyo ya mzungu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kuna ukoo tuna undugu nao huko Mlimba Morogoro kwa upande wa mama, ma babu zao huwa hawafi bali hugeuka simba. Nilibisha na kukataa katakata mpaka nilipokuja kuthibitishiwa na babu nilipotembelea eneo husika na kanisimulia vizuri kilichofanyika mpaka hali ikawa hivyo.
Ila kwasasa hawabadiriki baada ya mambo flani flani kufanyika na kurekebisha hiyo hali.
 
Inategemea vile ntu alivyonkafanya.
 
Hiki kisa ni maarufu sana huko mikoa ya kusini
kama ni miaka ya themanini ni yule simba mla watu ambae alitengenezewa documentary kwenye national geographic nadhani title yake imefanana na 'man-eating lion of Rufiji'

nadhani ipo kwenye youtube
 
Hii habari nimeisikia zaidi ya mara moja lkn miaka mingi nyuma, umenikumbusha mbali sana.
 
Wewe uliwaona wakibadilika?? Au kisa babu yako kakusimulia basi ukaamini.
 
Hao waganga huko msumbiji bado wapo mkuu? Kuna likamjamaa limeniingilia kwa Valentina Linajifanya linajua kuimbisha mi nachuniwa tu sasa hivi.

Nifanyie mpango wa kontakti bloo nigeuke simba mie nifanye mambo yangu adabu irudi
Tafuta mwigine,achana naye
 
Wewe uliwaona wakibadilika?? Au kisa babu yako kakusimulia basi ukaamini.
Hahaha kwakweli nipo nusunusu katika kuamini maana tukio alilonihadithia bibi na mjomba angu nao walithibitisha katika kushiriki baadhi ya matukio la ubadirikaji kuwa simba. Yaani iko hivi huyo mzee alikuwa umri umeenda sana na alikuwa analala tu akimaliza haja zote huko huko katika kijumba walichomjengea kwa pembeni. Huu ndio utamaduni wao pale muda unapofika wa wazee wao kubadirika, huwajengea kibanda then wanamuweka humo ndani. Nje wanaandaa ngoma za kitamaduni na matambiko. So siku ikifika wakati wanaendelea kuomba na kucheza kwenye kile kibanda atatoka simba na kuunguruma na kuelekea porini tena kwa madaha na mkienda kwenye kile kibanda hamkuti mtu yoyote so imani yao inajengeka kuwa huyo mtu amegeuka simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ