Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Moto huu wa kupikia na ni unaunguza kbs.Moto huu huu unaoangaza au Moto wa kiini macho tu? Unaposema alizikwa mtu asiyeonekana unamaanisha nini haswa?
Mtu asiyeonekana....yaani wachache tu ndio wanamuona ila wengine hawana access ya kumuona mpaka upakwe madawa ya kichawi.