MAKALA YA KIUCHUNGUZI: Baadhi ya shule za dini ya Kiislam nchini Sudan huwafanyia unyanyasaji wa kingono na kuwafunga minyororo watoto wanaosoma Quran

Poa wanalazimisha watoto chini ya miaka 10 kufunga. Mungu awasaidie kwa kweli.
 
Wewe endelea tu kufuatilia hiyo BBC ya kishoga, watakupindua
 
hayo ndio mafunzo ya kurani.Ndo maana IDF wanawatanguliza akhera magaidi wa HAMAS.
 
Wewe endelea tu kufuatilia hiyo BBC ya kishoga, watakupindua
Hili ndio tatizo lenu!! Yaani kwenye tatizo mnakimbilia kutafuta chaka la kujifichia?!! Mfano ki elimu hapa Tz, shule zenu watoto wanashinda kwenye elimu ya dini sana, zaidi ya elimu dunia, kwenye matokeo mnaanza ohoo, wakristo wana tuonea!! Kuna mwaka fulani hadi mkaanza kuhoji juu ya wasahishaji mitihani kuwa wengi ni wakristo wanawaonea!!! Yaani kuna kazi sanaa, NENDA PEMBA!!! yaani ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…