zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Naomba kuuliza kuna haja ya serikali kutoza kodi wale wote wenye makalio makbwa na HIPS kupunguza kasi ya matumizi ya Dawa za kichina.
Kuongeza ukuuaji wa KIUCHUMI TZ.
2*3=3*2Dada Zubeda, kwa nini hukupeleka hii thrad jukwaa la utani (kama ni utani) au jukwa la economic (kama uko serious)?
duh kuna watu wachokozi!Hips ni zipi na makalio ni yapi kumbe? yale yanayotumiwa na wabunge wa magamba kufikiria ndio hips au makalio?
Yakwako yakoje usije ukaanzisha mada kwa chuki hapa.
nashauri kama ni kutoza kodi iwe kwenye rate ya ongezeko la hips. manake kuna wenye vitu naturale,itakua uonevu
Yake ya kawaida tu kama tairi la scania
.....na siti za daladala zitapumua!!Naomba kuuliza kuna haja ya serikali kutoza kodi wale wote wenye makalio makbwa na HIPS kupunguza kasi ya matumizi ya Dawa za kichina.
Kuongeza ukuuaji wa KIUCHUMI TZ.
na kweli..mana huku uswaz kwetu wanashindana size tu!small na medium zinazid kupungua!sikuhiz ni xl,xxl,xxxl na kuendelea