Makalio makubwa hips kubwa KULIPIWA KODI?

Makalio makubwa hips kubwa KULIPIWA KODI?

Naomba kuuliza kuna haja ya serikali kutoza kodi wale wote wenye makalio makbwa na HIPS kupunguza kasi ya matumizi ya Dawa za kichina.
Kuongeza ukuuaji wa KIUCHUMI TZ.

waanze na kutoza kodi kwenye vitambi vyao!
 
naomba kuuliza kuna haja ya serikali kutoza kodi wale wote wenye makalio makbwa na hips kupunguza kasi ya matumizi ya dawa za kichina.
kuongeza ukuuaji wa kiuchumi tz.

hapo kwenye red nimepapenda na mimi naunga hoja, wale wenye ya kichina watozwe kodi. Ocean road dawa zinaisha kwa magonjwa ya kujitakia kodi zetu zinaisha bure.
 
Back
Top Bottom