"Makalio yanaongeza kiburi ndani ya nyumba" Pastor Bosco

Ni kweli, ukioa mwanamke mwenye mshedede a.k.a nyashi hakuna rangi utaacha kuona ndani ya nyuma
 
dah Ukweli mchungu, ila sasa wanaume hawawezi acha kuyafukuzia.
 
Usioe dada mwenye makaalio makubwa utakufa, waache wabaki wa starehe mtaani tu kwa wanaowamudu na kwa tusio wamudu wakipita tupige miluzi tu baasi inatosha. Wengi hawana akili za kichwani wanahisi ukubwa wa matrako ndo wingi wa akili
 
Kina muwinyi,mukikuwete, mumagufulu wanamilikisha nchi kwa watoto/wake zao na kuwafunga Wadai haki.... Mapumbafu yanajadili matako😈😈. Brainless
 
Usioe dada mwenye makaalio makubwa utakufa, waache wabaki wa starehe mtaani tu kwa wanaowamudu na kwa tusio wamudu wakipita tupige miluzi tu baasi inatosha. Wengi hawana akili za kichwani wanahisi ukubwa wa matrako ndo wingi wa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…