PreGE2025 Makalla ampasua Martha Karua: 'Tanzania Ni Taifa Huru Lenye Dola Imara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Makalla wewe ni nani nchi hii? Mpumbavu wewe usiye na akili.
 
Sii pii eii
 
Tokea Nchi ipate Uhuru huenda ccm kwa sasa ccm ina katibu mwenezi Mjinga mwenye uwezo mdogo wa kufikiri kupita makatibu wote waliowahi kupita ccm, Makala kalewa pesa za udalali kuwanunulia Chaumaccm Magalasa ya G55 kaamua kujitoa fahamu, wakenya ni wapenzi watizamaji walikuja kusikiliza kesi iliyosababishwa na Uonevu wa makala kwa kutuma Polisiccm, sasa mtu hakuja kwa mikutano wala kuisema ccm iweje mnamzuia?
 
Raia wa EAC siyo mgeni. Sisi sote tuna pasipoti ya EAC ndio maana hatuhitaji visa kuingia nchi za EAC
ccm ya sasa imejaa chawaccm vilaza watupu hususani makala ni mjinga kupindukia
 
Huu ujinga unaondelea sasa Nchini haukupata kuwepo awali kwa sababu makatibu wenezi waliopita walikuwa walevu sana, sasa katibu mwenezi wa sasa IQ yake ni ndogo sana mda wote anawaza kuwateka, kuwaua, kuwatesa, kuwanyanyasa, kuwabambikia kesi chadema ni mtu wa hovyo sana ana ushetani mkubwa haijapata kutokea, sasa anaiba pesa za walipa kodi kwa kumchochea mama anawaonee chadema kisha yeye kutumia kama kisingizio kuomba pesa za operation ya kuwahujumu kuwadhoofisha chadema
 
Makala ni wa kufukuzwa ccm kwa sasa kwani amelitia Taifa hasara kubwa kwa mipango yake haramu ya kishetani
 
Sio caliber yake asijipendekeze kwa wasomi wenye mark na elimu yake feki!
 
Ila hoja kuu mbona hazijibiwi!
Nani wanatuteka na kutuua?
Kwanini vyombo vya usalama viko kimya?
Yana mwisho haya, na mwisho wake ni mbaya sana kwao!
 
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/reel/1192349985498232
 
Kama ni match mpaka sasa hivi kati ya Marther Karua na Watz kwangu mimi naona marther ametupiga 5-1, ni watu tu kutokubali ukweli, tulikosea na mpaka sasa sisi ndio tunaaibika.
Hivi kule Uganda waliko mruhusu, kuna hata mmoja wetu ameona tamko lolote kuhusu Mseven, tumeyatyanka wenyewe.
 
Hawa maviOngozi wanaonesha udhaifu,woga na ujinga namna wanavyohangaika na tuvitu tudooogo!!
Mtu kuja kusikiliza kesi unatetemeeka unaona atachukua kiti huo ni UOGA na UJINGA wakushindwa kuelewa nafasi Yako.
Ukiona mtu anatumia nguvu kuubwa kwenye mambo madogo ujue huyo ni MUOGA,HAJIAMINI NA HAJITAMBUI na nihatari sana kuendekeza maviOngozi wenyehulka mbaya!
 
Makala ni mzinzi sana ni kama Salum mwalimu wa chauma ubwabwa ndiyo maana wamepiga Dili la kujisokomeza chauma
Makalla, aka mzee wa MPOX hana uwezo mkubwa wa kufikiri. Hivi umesikia wapi virus vya aina yote vinanuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…