Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Acheni kujidhalilisha nyie kenge wa CCM, Martha na Makala mbona havilingani kabisa? Makala huyu aliyesema CHADEMA wataleta mpoxy?Katika kile kinachoonekana 'kukazia' kauli iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya Tanzania,
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla amemshukia Mwanasheria nguli wa Kenya Martha Karua na wenzake, kwa kuwaeleza kuwa Tanzania ni Taifa huru na linalongozwa na 'Dola' Kamili yenye nguvu.