Katika kile kinachoonekana 'kukazia' kauli iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya Tanzania,
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla amemshukia Mwanasheria nguli wa Kenya Martha Karua na wenzake, kwa kuwaeleza kuwa Tanzania ni Taifa huru na linalongozwa na 'Dola' Kamili yenye nguvu.
The Commission updated the EU Air Safety List, the list of airlines that are subject to an operating ban or operational restrictions within the European Union, because they do not meet international safety standards.