Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Hawa wanazungumziaga wapi mbona hakuna hata linkView attachment 3410817
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu jijini Dodoma.
Pia amesema mchakato wa kuchuja wagombea utakamilishwa Julai 28, 2025.
Ameyasema hayo leo Julai 19 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, akisema sababu ni wingi wa wagombea hivyo kuchukua muda mrefu kuwachambua.
Amesema mpaka sasa hakuna aliyekatwa wala kufyekwa, bali chama kitafanya uteuzi na wanachama watapewa taarifa.
Atueleze lini CHADEMA wanaanza kuingiza virusi vya Ebola na MPOX kama alivyosema miezi michache nyuma.Chama kimeongeza umakini tupate wagombea bora, watu wanachujwa mpaka wale safi wapatikane
Haitwi makala anaitwa Mr. Mpox na ebolaView attachment 3410817
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu jijini Dodoma.
Pia amesema mchakato wa kuchuja wagombea utakamilishwa Julai 28, 2025.
Ameyasema hayo leo Julai 19 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, akisema sababu ni wingi wa wagombea hivyo kuchukua muda mrefu kuwachambua.
Amesema mpaka sasa hakuna aliyekatwa wala kufyekwa, bali chama kitafanya uteuzi na wanachama watapewa taarifa.
Uongo MkubwaView attachment 3410817

Wamedhibitiwa, kila wakitaka kuvifata Nairobi wanakwama pale NamangaAtueleze lini CHADEMA wanaanza kuingiza virusi vya Ebola na MPOX kama alivyosema miezi michache nyuma.
Kenya hakuna Ebola.Wamedhibitiwa, kila wakitaka kuvifata Nairobi wanakwama pale Namanga
Sekretarieti ya Kanati kuu ipitie fomu moja moja ya kila mgombea ubunge ili kujiridhisha kuhusu mgombea anayefaa zaidi, isiamini uchujaji uliofanywa na vikao vya mikoa na wilaya kunaweza,kuwa kuna rushwa ilitumika.View attachment 3410817
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu jijini Dodoma.
Pia amesema mchakato wa kuchuja wagombea utakamilishwa Julai 28, 2025.
Ameyasema hayo leo Julai 19 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, akisema sababu ni wingi wa wagombea hivyo kuchukua muda mrefu kuwachambua.
Amesema mpaka sasa hakuna aliyekatwa wala kufyekwa, bali chama kitafanya uteuzi na wanachama watapewa taarifa.
Vinahifadhiwa katika special devices, hujui hata Medical Research centres za Tanzania wana maabara ambazo ni restricted wanafanya research za hao wadudu? Sasa chadema wamevificha KenyaKenya hakuna Ebola.
Hapa hauongei na mshamba wa kijijini anayedanganywa na Makalla kuwa Samia ndio amewalete maji.
Haya leta uongo mwingine.
Wale waliokuwa wanazunguka na Pole pole kipindi Jiwez yupo Taabani Daresalame na mikoani ili Mama asipate nafasi wote fyekaaa...Chama kimeongeza umakini tupate wagombea bora, watu wanachujwa mpaka wale safi wapatikane