Weka hapa research paper iliyotokana na "restricted studies" kutoka KEMRI.Vinahifadhiwa katika special devices, hujui hata Medical Research centres za Tanzania wana maabara ambazo ni restricted
Unafahamu lolote hata kuhusu stage za pharmacovigilance au unaandika hapa ukifikiri unamuandikia hapa Lumumba buku 7 mwenzio?
Una ufahamu wowote kuhusu clinical trials au pia unaandika tu kama mnavyopewa script ya kuja kuspin press za wanaompinga mama Abdul.
Una habari hata kwenye vita kuna muongozo wa umoja wa mataifa kuhusu matumizi ya biological weapons?wanafanya research za hao wadudu? Sasa chadema wamevificha Kenya
Hujiulizi kuwa Urusi na Ukraine zote zinamiliki hivyo vitu ila kuna zuio la matumizi yake na hii ipo katika Biological Weapons Convention na Geneva Protocols.
Biological weapons | United Nations Office for Disarmament Affairs
Biological weapons disseminate disease-causing organisms or toxins to harm or kill humans, animals or plants.
Soma hapo usiwe mvivu na kilaza kama yule wakili wa serikali kwenye kesi ya kubumba ya Lissu.