Weka hapa research paper iliyotokana na "restricted studies" kutoka KEMRI.Vinahifadhiwa katika special devices, hujui hata Medical Research centres za Tanzania wana maabara ambazo ni restricted
Una habari hata kwenye vita kuna muongozo wa umoja wa mataifa kuhusu matumizi ya biological weapons?wanafanya research za hao wadudu? Sasa chadema wamevificha Kenya
Wingi wa wagombea ungeongeza muda wa kuwachuja, si kusimamisha zoezi. Tuelezwe sababu ya zoezi hilo kusitishwa.View attachment 3410817
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu jijini Dodoma.
Pia amesema mchakato wa kuchuja wagombea utakamilishwa Julai 28, 2025.
Ameyasema hayo leo Julai 19 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, akisema sababu ni wingi wa wagombea hivyo kuchukua muda mrefu kuwachambua.
Amesema mpaka sasa hakuna aliyekatwa wala kufyekwa, bali chama kitafanya uteuzi na wanachama watapewa taarifa.
Hizo taarifa za siri, siwezi kukupa, inaonekana unatumika na mabeberu, naongelea NIMRI, sio KEMRi ya kwa mabwana zenuWeka hapa research paper iliyotokana na "restricted studies" kutoka KEMRI.
Unafahamu lolote hata kuhusu stage za pharmacovigilance au unaandika hapa ukifikiri unamuandikia hapa Lumumba buku 7 mwenzio?
Una ufahamu wowote kuhusu clinical trials au pia unaandika tu kama mnavyopewa script ya kuja kuspin press za wanaompinga mama Abdul.
Una habari hata kwenye vita kuna muongozo wa umoja wa mataifa kuhusu matumizi ya biological weapons?
Hujiulizi kuwa Urusi na Ukraine zote zinamiliki hivyo vitu ila kuna zuio la matumizi yake na hii ipo katika Biological Weapons Convention na Geneva Protocols.
Biological weapons | United Nations Office for Disarmament Affairs
Biological weapons disseminate disease-causing organisms or toxins to harm or kill humans, animals or plants.disarmament.unoda.org
Soma hapo usiwe mvivu na kilaza kama yule wakili wa serikali kwenye kesi ya kubumba ya Lissu.
Kuna mtu mzito ndani ya CCM HII WIKI IJAYO ATACHOMOKA NAE NA BALAA KAMA LA POLE POLE HUU MWAKA wanakazi ila mpaka hapa ni dhahiri REFORMS zinahitajikaNgoja tumwambie PolePole tarehe 27 aitishe press tena ili 28 ifeli tena.
Mwendo ni huu huu tu wa " UBUYER USELLER"
Siri gani?Hizo taarifa za siri, siwezi kukupa, inaonelana unatumika na mabeberu
Wewe bwege, mimi naongelea NIMRi, sio KEMRI ya kwa bwana zenu wakenyaSiri gani?
Yaani Siri uijue kapuku buku 7 wa Lumumba halafu KEMRI wasiijue na kutoa disclaimer?
Danganya washamba wa vijijini huko kuwa Samia amewaletea maji .
Hajui hesabuHuyu Mzee ni mwongooo WAGOMBEA 10000???😄🤣8😭
Unajitambua kwanza hata unachoongea ?Wewe bwege, mimi naongelea NIMRi, sio KEMRI ya kwa bwana zenu wakenya
CCM inajua kutegaNgoja tumwambie PolePole tarehe 27 aitishe press tena ili 28 ifeli tena.
Mwendo ni huu huu tu wa " UBUYER USELLER"
Sawa, warekebishe na michakato ya wagombea urais bara na Zanzibar.Polepole kaisaidia ccm sanaView attachment 3410817
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu jijini Dodoma.
Pia amesema mchakato wa kuchuja wagombea utakamilishwa Julai 28, 2025.
Ameyasema hayo leo Julai 19 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, akisema sababu ni wingi wa wagombea hivyo kuchukua muda mrefu kuwachambua.
Amesema mpaka sasa hakuna aliyekatwa wala kufyekwa, bali chama kitafanya uteuzi na wanachama watapewa taarifa.
Hili la pole pole sio dogo mkuu limewagawa wanaccm nchi nzimaCCM inajua kutega
Polepole na genge lake walidhani wanajua hola
Kumbe CCM ilitegeshea kuwajua mbwa mwitu bosi wao nani
Kaingia mkenge kichwa kichwa
Unaambiwa Aus Aresti imehusika kwa baadhi ya wajumbeWingi wa wagombea ungeongeza muda wa kuwachuja, si kusimamisha zoezi. Tuelezwe sababu ya zoezi hilo kusitishwa.
Mada imekushinda umeamua kujitia uchizi, takataka kabisaUnajitambua kwanza hata unachoongea ?
Unajua exportation ya biopharmaceuticals inaangukia kwenye mamlaka zipi?
Yaani wewe useme watu wanaenda kufanya procurement ya biopharmaceuticals Nairobi halafu KEMRI wasijue?
Unashangaa KEMRI ni nini sababu umeokoteza vihabari uchwara huko kwenye makundi sogozi ya Lumumba unafikiri unaweza kuziweka hapa na tukakuamini juu juu tu?
Ulifikiri stamp unapata Namanga tu Immigration ?
Hivi CCM ni lazima uwe mjinga ndio usikilizwe ??
Zezeta la mama unasema una classified informations za biological weapons halafu hata NIMRI hujui kuiandika unaiandika "NIMRi" halafu ndio unataka nikuamini?Mada imekushinda umeamua kujitia uchizi, takataka kabisa
Ndg yangu usipoteze muda na huyo punga wa mamaZezeta la mama unasema una classified informations za biological weapons halafu hata NIMRI hujui kuiandika unaiandika "NIMRi" halafu ndio unataka nikuamini?
Unafikiri mimi ni hao wajinga wenzio mnaozolewa huko na kupewa vihabari kuja kuandika wakati hamjui lolote?
This is not a kitchen talk.
Eti fyeka. Mwakaa huu mnalo babu. NO REFORMS NO ELECTIONWale waliokuwa wanazunguka na Pole pole kipindi Jiwez yupo Taabani Daresalame na mikoani ili Mama asipate nafasi wote fyekaaa...