mlima makadamia
Member
- Sep 10, 2024
- 91
- 166
Mjasiriamali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya majitu yanayuchukuliaje wananchi?
Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa TAMISEMI kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
Amesema katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, wapo wagombea wa CCM ambao wamewekewa pingamizi, hivyo madai ya vyama vya upinzani kwamba wagombea wao pekee ndiyo waliowekewa pingamizi yana lengo la kuwahadaa watanzania.
Makalla aliyasema hayo wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo Novemba 8, 2024, ambapo alisisitiza CCM ipo tayari kushiriki uchaguzi huo na kitaibhayauka mshindi kwani kimejiandaa ipasavyo.
Mbona 2019 na 2020 waliengua wagombeaji wote wakabakiza wa CCM tu?
Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa TAMISEMI kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
Amesema katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, wapo wagombea wa CCM ambao wamewekewa pingamizi, hivyo madai ya vyama vya upinzani kwamba wagombea wao pekee ndiyo waliowekewa pingamizi yana lengo la kuwahadaa watanzania.
Makalla aliyasema hayo wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo Novemba 8, 2024, ambapo alisisitiza CCM ipo tayari kushiriki uchaguzi huo na kitaibuka mshindi kwani kimejiandaa ipasavyo.
hakuna kitu hapoSafi sana mwenezi. Umeongea vyema. TAMISEMI watende haki.
Hata huku Ukerewe wamefuta wote wa upinzani..Maneno matupu haya. Kule Jimbo la Serengeti wamefuta wagombea wote wa upinzani
Hakuna mahali CCM inatumia mbingu za kijinga isipokuwa imejaa kiburi na madharau kwa watanzania ndiyo wanaweza kufanya vitu vya kuudhi kama hivi bila kujali chochote. Haya mambo hayakuanza leo.Mbinu za CCM ni za kijinga sn
Na badoAmos Makala na chama dola kongwe acheni kuchezea amani ya taifa letu.
7 November 2024
Lisbon, Portugal
HALMASHAURI KUU YA CHAMA (NEC) DOLA KONGWE FRELIMO YAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI
Msumbiji: Frelimo inaunganisha maandamano ya baada ya uchaguzi na jaribio la mapinduzi na maslahi ya nje - Tazama
6:17 | 07 Nov 2024
![]()
Picha : TVM . Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama (NEC ) dola kongwe FRELIMO katibu wa Siasa na Uenezi Bi. Alcinda Abreu
Chama cha Frelimo kinasema kuwa kuna vuguvugu la kuviondoa madarakani vyama vilivyokomboa baadhi ya nchi katika bara la Afrika kupitia mapinduzi ya kijeshi na kwamba huenda ikawa hivyo nchini Msumbiji.
Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari, chama tawala kongwe FRELIMO kilifahamisha kuwa kinaamini kuwa nchi hiyo ina maliasili ambazo baadhi ya nchi zinatamani
Ilikuwa ni kuwaomba raia wa Msumbiji kuheshimu Katiba ya Jamhuri na kutoa wito kwa wakazi kuwa na utulivu kupitia taarifa kwa umma toka Kamati ya Kisiasa ya Frelimo iliitisha mkutano na waandishi wa habari Jumatano jioni, katika jiji la Maputo.
Bi. Alcinda de Abreu, anayewakilisha Halmashauri Kuu ya chama hicho FRELIMO , aliwasilisha msimamo wa Frelimo kuhusu maandamano na uharibifu katika kupinga uchaguzi mkuu wa tarehe 9 Oktoba 2024.
"Msumbiji, nchi yetu nzuri na tunayopenda, inadhulumiwa kwa njia isiyo ya kawaida, inayoonyeshwa na maandamano ya vurugu ambayo yanaleta maombolezo, maumivu, uharibifu, na kuongezeka kwa njaa na umaskini ndani ya familia kubwa ya Msumbiji," alisema Alcinda de Abreu, anaripoti mwandishi wa shirika la habari la ABNA.
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Kisiasa ya chama kongwe dola Frelimo,
"Imechukua miaka ya kazi ngumu kufikia hapa tulipo leo. Tunaelewa kuwa tumepitia nyakati ngumu za mizozo ya kiuchumi na kifedha, iliyosababishwa na sababu za ndani na nje, pamoja na ugaidi huko Cabo Delgado, lakini, kama raia wa Msumbiji, lazima tufanye kazi kwa maendeleo ya nchi, "alisema Bi. Alconda Abreu MNEC mjumbe wa NEC FRELIMO .
Msemaji wa kikao cha 36 cha kawaida cha halmashauri kuu ya chama cha Frelimo alisisitiza wazo la Waziri wa Ulinzi kwamba kuna watu wanaotaka kufanya mapinduzi.
"Frelimo, kama chama kilichoikomboa Msumbiji kutoka kwa ukoloni mkongwe wa Mreno , ni sehemu ya vuguvugu la ukombozi wa taifa, na leo kuna harakati za kuondoa vyama vilivyokomboa baadhi ya nchi za Kusini mwa Afrika ."
MNEC Alcinda de Abreu pia alisema kuwa nchi hiyo ina utajiri mkubwa wa maliasili ambazo baadhi ya nchi zinatamani na, kwa hivyo, huajiri watu "waliokengeushwa" ili kuchochea ukosefu wa utulivu nchini.
Kuwaengua maelfu ya wagombea wa Chadema ni ishara kuwa mnawaogopa, mumepima mumeona wao wanakubalika kwa wapiga kura ndiyo maana mnawaogopa vinginevyo waachiwe wapiga kura kwani ni watu wazima na wana akili timamu wanajua ni watu gani wanawafaa.Hii dhambi anayotenda Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais Samia itawatafuna wote.
Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa TAMISEMI kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
Amesema katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, wapo wagombea wa CCM ambao wamewekewa pingamizi, hivyo madai ya vyama vya upinzani kwamba wagombea wao pekee ndiyo waliowekewa pingamizi yana lengo la kuwahadaa watanzania.
Makalla aliyasema hayo wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo Novemba 8, 2024, ambapo alisisitiza CCM ipo tayari kushiriki uchaguzi huo na kitaibuka mshindi kwani kimejiandaa ipasavyo.
Kimejiandaa ipasavyo kuiba maana makada wake walishasema Mungu atawasamehe baadayeKatibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
Amesema katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, wapo wagombea wa CCM ambao wamewekewa pingamizi, hivyo madai ya vyama vya upinzani kwamba wagombea wao pekee ndiyo waliowekewa pingamizi yana lengo la kuwahadaa watanzania.
CPA Makalla aliyasema hayo wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo Novemba 8, 2024, ambapo alisisitiza CCM ipo tayari kushiriki uchaguzi huo na kitaibuka mshindi kwani kimejiandaa ipasavyo.
View attachment 3147119
Unawafanyiaje figisu chama ambacho hakina hata uwezo wa kusimamisha wagombea Kwa sababu za kukosa watu? LGE2024 - Tundu Lissu yuko sahihi, mfano Kilosa Kuna Vijiji 138 CHADEMA ina Wagombea 70, Kuna Vitongoji zaidi ya 800 CHADEMA ina Wagombea 200!Bora CPA Makalla kuweka msisitizo huo, kuwe na fair grounds kwa vyama vyote nchi hii ni yetu sote. Tamisemi wasijisahau wakaona wanamfurahisha rais, kumbe wanatengeneza machafuko ndani ya nchi.