Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
NDio Lugha gani hii sasa😀😀Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Stephen Masato Wasira.
Wasira na watoto wengi tu. Mtoto wake mkubwa anaitwa Kambarage ni mtia nia wa jimbo la Bunda kwa tiketi ya CCM. Anafahamika kama Mmarekani kwa vile kaishi USAKama Wasira angekuwa Ana familia imara wangemshauri kukataa huo uteuzi wa kuwa Makamu Mwenyeketi.
Endapo wanapenda kumuona Baba yao akiendelea Ku-exist.
Anaandika ilani ya chama chakavu akiwa likizo mapumzikoni!Ahsante kwa ufafanuzi
Duuh kwa hiyo mtachagua mmarekaniWasira na watoto wengi tu. Mtoto wake mkubwa anaitwa Kambarage ni mtia nia wa jimbo la Bunda kwa tiketi ya CCM. Anafahamika kama Mmarekani kwa vile kaishi USA
Alikuwa anadhani adui wa CCM ni Chadema hadi pale alipoona ukweli jinsi huko ndani kulivyo akashindwa kuendeleaKama Wasira angekuwa Ana familia imara wangemshauri kukataa huo uteuzi wa kuwa Makamu Mwenyeketi.
Endapo wanapenda kumuona Baba yao akiendelea Ku-exist.