PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wasira na watoto wengi tu. Mtoto wake mkubwa anaitwa Kambarage ni mtia nia wa jimbo la Bunda kwa tiketi ya CCM. Anafahamika kama Mmarekani kwa vile kaishi USA
Kwann hawa
Wasira na watoto wengi tu. Mtoto wake mkubwa anaitwa Kambarage ni mtia nia wa jimbo la Bunda kwa tiketi ya CCM. Anafahamika kama Mmarekani kwa vile kaishi USA
Okay kuwa na familia ambayo haikuongozi vyema ni jambo ambalo Halina Afya
 
Yule age imeenda, at 80s usitegemee akawa anawasha sana moto,,,, kupumzika nako muhimu ! Waliomteuwa nadhani walilizingatia hilo ,,,,,

Kuna kipindi jamaa mmoja tuliambiwa yupo offcn anachapa kazi kama kawaida, after some days parapanda ikalia
 
Ako na drip za maji Kwa wiki SASA . Body NI injini na sio gari😁
 
Back
Top Bottom