PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama tayali amerudisha jezi waseme mapema tuu maana mwaka mzima huu nina bajeti ya kitimoto kwa kila tukio lolote baya litakalowakuta mboga mboga
Wakati unapiga mdudu wakupe na bia kwa Bill yangu ,mboga mboga washenzi sana
 
amepumzika milele amina au
 
Karibu Mwenyezi wa CCM amesema kuwa makamu Mwenyekiti wa Chama hicho haumwi ila yupo kwenye mapumziko

Mzee Wasira ametumikia serikali na CCM Kwa kipindi kirefu Toka enzi za Nyerere hadi Sasa hivi

Inakadiriwa Kwa Sasa Mzee Wasira ana zaidi ya miaka 90

 
Hata lisu kule amepumzika kwa amani

USSR
 
Mi
Mi nikajua teyari
 
Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
Tunapenda kumuona wajati wote kwani ni musta ya taifa.
 
Hivi huyu Babu aliyeibiwa kura miaka fulani aliendaga wapi?
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…