SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Yuko Kigoma kule hifadhi ya Gombe amerudi kwenye makazi yake ya asili anajilia mizizi na matunda pori yakeHivi huyu Babu aliyeibiwa kura miaka fulani aliendaga wapi?
View attachment 3337271
Peter Msechu kaonekana akielekea BundaWasira hawezi kumaliza huu mwaka lazima akate moto
Kwann hawaWasira na watoto wengi tu. Mtoto wake mkubwa anaitwa Kambarage ni mtia nia wa jimbo la Bunda kwa tiketi ya CCM. Anafahamika kama Mmarekani kwa vile kaishi USA
Okay kuwa na familia ambayo haikuongozi vyema ni jambo ambalo Halina AfyaWasira na watoto wengi tu. Mtoto wake mkubwa anaitwa Kambarage ni mtia nia wa jimbo la Bunda kwa tiketi ya CCM. Anafahamika kama Mmarekani kwa vile kaishi USA
Huyu mishavu ndiyo msemaji wa familia?Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
Mchawi yule aliloga pale mbuyuni dar hadi mbuyu umegoma kukatika kupisha mwendo KASILeo sabato itakuwa yupo church
Injini imenockKatibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.