PreGE2025 Makalla: Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi, labda Uchaguzi wa Ukoo

PreGE2025 Makalla: Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi, labda Uchaguzi wa Ukoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Chadema hawawezi kuuzuia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka huu, kwani upo kikatiba na sheria.

Makalla ameyasema hayo Jumamosi Machi 22, 2025 akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoani Simiyu.

Soma, Pia: Makalla: Wakurugenzi hawatasimamia Uchaguzi, ahoji hofu ya CHADEMA kuhusu Uchaguzi licha ya marekebisho ya mfumo

Chadema kupitia msimamo wa kamati kuu yake imekuja na kaulimbiu ya ‘No Reforms, No Election’ ikishinikiza kufanyika kwa mabadiliko ili uchaguzi ufanyike, na hivi sasa viongozi wa juu wa chama hicho wanatembelea makundi mbalimbali kueleza msimamo huo.

Ukiangalia nyuso za wanaohutubiwa unapata picha tosha ya kinachoendelea. Watu wameielewa slogan ya ''no reform no election'' tusubiri muda ni mwalimu mzuri.
 
Kumbe Virus vya Ebola vinauzwa? Aisee kweli kupitia "No Reform,No Election tutajua mengi sana
 
Kumbe Virus vya Ebola vinauzwa? Aisee kweli kupitia "No Reform,No Election tutajua mengi sana
Hasara ya kuwaza kupitia tumbo,Sasa anahaha namna ya kujisafisha aonyeshe panapouzwa virusi Nina shida nazo
 
Makalla anaongea sana mpaka anazingua yeye aongelee chama kwenye hii miaka mitano kimefanya nini kimetekeleza miradi mingapi kimeweza vipi kuwakwamua wananchi kutoka kwenye umaskini miradi mingapi imetekelezwa tatizo la ajira kwa vijana chama kina mikakati gani kupunguza changamoto za ajira yeye kila siku CHADEMA haijawai kuongoza nchi huyu makalla hopless kabisa namzidi hata mimi akili propaganda zile za zama za mawe za kale hazina nafasi karne hii 22 ndo maana project ya CHAUMMA imeferi kabla ya kuanza watanzania wana akili sasa hivi. Chama kiwambie wananchi kwamba miaka mitano kimeweza vipi kupambana na Ruswa kuwajibisha wafanyakazi wazembe ayo ndo mambo Makalla inatakiwa kuwaeleza wananchi kuongelea CHADEMA ni kuendelea kukuza Kampeni yao ya NO Reforms no Election.
 
Back
Top Bottom