Pre GE2025 Makalla: Tundu Lissu ameingia kuiua CHADEMA, Chama kinaenda kuvunjika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Labda wafanye wao, no reforms no election
 
Hivi kweli uone mpinzani wako anaenda kujiua wewe uanze kuongea publicly kuwa anajiua?

Akili finyu
Wameshikwa pabaya Nzi wa kijani🤣🤣🤣

Yaaani anasema Lissu anaiua CHADEMA alafu anasema Lissu ajitafakari washiriki uchaguzi😅😅😅😅

Kwa hiyo leo CCM hawataki CHADEMA ife?🤣🤣🤣🤣! Maajabu ya dunia haya

Endeleeni tu kucheza ngoma ya Lissu. Hoja ya NO REFORM NO ELECTION sio kwa faida ya CHADEMA ni kwa faida ya Tanzania yetu na vizazi vinavyokuja.
 
Huyo m
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Huyo mPuuzi Amos Makala kila akifungua bakuli lake anaongea uharo mtupu.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Hili guluguja Makala halina akili hata kidogo
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Hivi hii Makala ni ya gazeti gani?
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

This motherfucker ass faggot, dumb and imbecile gullible should focus on building his political party CCM, but whether Chadema is going to die or not should not be part of his business.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Huwa ninamuona Lissu na mapungufu mengi ya kiuongozi(leadership qualities) lakini kitendo cha mpinzani wa mageuzi/mabadiliko ambaye ni kada mwandamizi wa mbogamboga na pia ni mtu anayetamani CHADEMA ife pia yupo katika kundi la kuihujumu kulalama kwamba eti anatoa tahadhari eti Lissu ataiua CHADEMA this implies that Lissu ndiye mtu sahihi kuilinda CHADEMA isife.
This stvpid-ass Makala hawezi kuwa mtu sahihi wa kuitahadharisha CHADEMA kwa lolote.
 
UKO SAWA KWA 100%
 
Ila kweli, Lissu wa hovyo sana, anatuulia chama hivihivi
 
CCM ijibu hoja juu ya huu mfumo haramu wa uchaguzi.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Kweli hili ni box
 
Back
Top Bottom