Pre GE2025 Makalla: Tundu Lissu amesema Rais Samia amegawa Pikipiki nchi nzima, Lissu ajue Samia ni Mwenyekiti wa CCM na huo ndio Uimara wa Chama!

Pre GE2025 Makalla: Tundu Lissu amesema Rais Samia amegawa Pikipiki nchi nzima, Lissu ajue Samia ni Mwenyekiti wa CCM na huo ndio Uimara wa Chama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Halafu Makalla aambiwe, yawezekana hajui kwamba, kuwa mwenezi haimaanishi azunguruke nchi nzima kama pia anaweza kutumia media kimkakati na akafanikiwa pakubwa.
Mwenzio anawaza perdiem hawez fanya hivyo kama ulivyoshauri
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake

Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla

Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema

View attachment 3012722

Nawatakieni Dominica Njema 😀
Kuna nchi baadhi ya sample kama hz za akina Makalla zisingekuwepo,kama kuna nchi ambayo wananchi wake wameugua magonjwa na wanawatesa ndani kwa ndani ni Tanzania ila kuna siku inakuja hakuna jiwe litakalosalia.
 
Back
Top Bottom