Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
Ukisikiliza anachoongea utashangaa.Kazoea kuchoma masoko na sasa anakwenda kuchoma ccm ofisi zote.
The time is already here. Ni sisi tu kubadilika ila Kuna kizazi lazima kufutike kwanza Ili maendeleo yajeila watanganyika ndo tunashida,Ccm hadi watuue asee!
Kizaz kipi hicho mkuu?!The time is already here. Ni sisi tu kubadilika ila Kuna kizazi lazima kufutike kwanza Ili maendeleo yaje
CCM wengi siyo wazima, Kuna shida upstairsKazoea kuchoma masoko na sasa anakwenda kuchoma ccm ofisi zote.
Na unahisi hiki kizaz cha upinzani kina tofauti na kizaz cha Ccm kilicho madarakani?!The time is already here. Ni sisi tu kubadilika ila Kuna kizazi lazima kufutike kwanza Ili maendeleo yaje
CCM karibu wote, they are not okay, something is wrong with themMakalla amejitwisha kichwa cha mwendawazimu!
HakikaSiasa mufilisi..!
Kazoea kuchoma masoko na sasa anakwenda kuchoma ccm ofisi zote.
Hamna tofauti maana wote ni wavaa kijaniTofauti ya Makalla na Dotto Magari ni ipi?
Ni kuingia tu darasani eti, ndio maana watu kama kina doto magari wanadharau wasomi, kama wasomi wenyewe ndio hawa hao wasiosoma sijui tunategemea wawejeTofauti ya Makalla na Dotto Magari ni ipi?
Watu walozaliwa Karne ya 19 wengi wao wanapogia CCM kura bila kujali chochoteKizaz kipi hicho mkuu?!
Makala amejua kuivua nguo CCM kwa utopo huu. Hata kama ni propaganda basi ingalao ikaribiane kidogo na ukweli,naona hata hao aliokuwa anawahutubia wameishia kumshangaa na kumdharau. Hivi mtu akanunue virusi vya ebola na mpox ina maana vitawashambulia maccm tu na kuwaacha Chadema? Na hilo soko lake likowapi ? Nitashangaa kama viongozi wa Chadema hawatamshitaki binafsi Amos Makalla kwa uchafuzi huu.CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusiš¦ vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike.
Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na kudharau wananchi kwa kuamini wote ni wapumbavu na wataamini unachosema. Your cheap politics offers political millage to your opponent. Ngoja uone chadema watakavokuja kukumaliza na iyo agenda yako ya kitoto eti kununua virusi š«£š«£š