Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

Hiyo CPA ni ile tunayoambiwa ni kwa wasomi nguli wa mahesabu ya pesa?
CPA, certified public auditor unaweza kuwa mzuri kwenye namba ila kwenye siasa ukashindwa kupiga hesabu za matamshi na hoja.
 
Ndg makala amethibitisha kuwa Ccm wameishiwa sera kbc za kujenga nchi yaan kwa akili ya kawaida hamna mtu anaweza kuelewa mambo ya kitoto kama haya
 
Weledi, maadili, umakini, kujiheshimu na kuliheshimisha Taifa, mambo haya katika uongozi tupa kule!

Madaraka, kubaki kushikilia dola kwa gharama yeyote ile ndio falsafa ya enzi hizi ya chama. IUtabaki madarakani, ndio, lakini chama kinakuwa kimeoza.

Julius Nyerere na Rashidi Kawawa wanabingirika kaburini.
 
Kumbe kutupa alert zote na tahadhari zote juu ya M pox lengo lilikuwa kuja kuifanyia siasa. Hawa watu ni wapumvavu na malofa san!!
 
Muhimu sana ifikie wakati wa Nyeupe iitwe nyeupe.
Shida yetu some binadamu tunahitaji maisha bora,usawa na Haki. Je, kwa Tanzania hali ikoje kwenye hayo mambo matatu?
Hakuna ubishi kwamba sisi sote tunatakiwa kuifanyia nchi yetu kitu chochote kinacho changia ustawi wa nchi.
Naamini kipindi cha ukoloni wanachi walipambana kwa pamoja kuondoa madhira yaliyoikumba nchi yetu na Afrika kwa ujumla lakini baada ya ukombozi je,tuligawana faida kwa usawa na haki? Je,lengo likitimia au tulipadili Ukoloni mamboleo na kubadili rangi za watawala?
Tukapambana na kitu kiliitwa Azimio la Arusha naamini kulikuwa na nia njema lakini tulivuna nini?
Tukahamasishwa kupigana na nduli Iddy Amin je,waliovuja jasho na damu tuliwaweka sehemu gani? Je,hayo manufaa tuligawana?
Mambo ni mengi na tatizo siyo CCM tatizo ni watu waliomo ndani na nje ya CCM. Nani atajitokeza kupiga vita Rushwa,kuwasaidia wananchi katika kupambana na ugumu wa maisha? Nani atakuwa na uchungu na uzalendo katika kulinda watu wa nchi hii na mali zao dhidi ya wany'ang'anyi ikiwemo raia wa kigeni wanaotumia udhaifu uliopo kutwaa mali kutoka kwa wazawa bila uhalali kwakutumia watu waliopewa mamlaka?
Kama viongozi watakuwa wakweli na kutimiza wajibu wao hakuna sababu ya kuogopa kuweka ushindani wa wazi na huru.
 
Ndg makala amethibitisha kuwa Ccm wameishiwa sera kbc za kujenga nchi yaan kwa akili ya kawaida hamna mtu anaweza kuelewa mambo ya kitoto kama haya
Wamejisahau sana, hawajui miaka imepita, sasahivi ukitoka chuo kikuu unaenda VETA
 
Huyo Makalla akamatwe,afungwe kamba za katani miguuni na mikononi halafu atandikwe mijeledi barabara hadi aseme ametubu na hatorudia tena kuropoka.
 
CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike.

Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na kudharau wananchi kwa kuamini wote ni wapumbavu na wataamini unachosema. Your cheap politics offers political millage to your opponent. Ngoja uone chadema watakavokuja kukumaliza na iyo agenda yako ya kitoto eti kununua virusi 🫣🫣😁

Kwa mawazo yangu
Makala ni mwenezi ambae anarudisha nyuma sana ccm
 
The time is already here. Ni sisi tu kubadilika ila Kuna kizazi lazima kufutike kwanza Ili maendeleo yaje
Labda tuwaandae madogo wa kuanzia 2020 waje kufanya jambo, vinginevyo sioni kizazi cha kufanya maajabu

Wazee wetu wa 60 kushuka chini tayari washajimilikisha mfumo, saivi wanapambana kurithisha madaraka kwa vizazi vyao

Vijana wa 70-80's wamekua machawa waandamizi.

Vijana wa 90's hatuna mzuka na siasa, focus yetu ipo kwenye familia na malengo binafsi

Madogo wa 2000 hao ndio sio wa kuwategemea kabisaaaa
 
Kweli ume highlight situation ilivyo bila kukosea, labda generation alpha waje kufanya jambo
 
CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike.

Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na kudharau wananchi kwa kuamini wote ni wapumbavu na wataamini unachosema. Your cheap politics offers political millage to your opponent. Ngoja uone chadema watakavokuja kukumaliza na iyo agenda yako ya kitoto eti kununua virusi 🫣🫣😁
Kabla ya kuchangia naomba kujua kwanza kama uyu bwana hutumia kileo chochote, huwezi tamka maneno ya kijinga namna hii kama kweli upo timamu,

Hii ni kauli ya hovyo wahi kutokea,
 
CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike.

Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na kudharau wananchi kwa kuamini wote ni wapumbavu na wataamini unachosema. Your cheap politics offers political millage to your opponent. Ngoja uone chadema watakavokuja kukumaliza na iyo agenda yako ya kitoto eti kununua virusi 🫣🫣😁
Zee jinga sana
 
Tena kwa tuhuma hii nzito, yeye alipaswa kutoa ushahidi wa jambo hilo!
Hata kama Watanzania 'tunanunua uchawi' (inasemekana!), hatujafika hatua ya 'kununua' virusi...!
Inatisha mtu kama yeye kuongea jambo kama hili..Kuna jambo wanataka kufanya Ili wasingizie chadema hawa.
 
Back
Top Bottom