Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Hajasema hivyo virusi vinauzwa wapi na shilingi ngapi?CCM wengi siyo wazima, Kuna shida upstairs
Sasa hii itakuwa nchi kweli? Kama mtu naweza kwenda kununua VITUSI na usalama hawajui?
Makala epukana na aibu hizi
No reforms no election