Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

Tena kwa tuhuma hii nzito, yeye alipaswa kutoa ushahidi wa jambo hilo!
Hata kama Watanzania 'tunanunua uchawi' (inasemekana!), hatujafika hatua ya 'kununua' virusi...!
 
Hajasema hivyo virusi vinauzwa wapi na shilingi ngapi?
Sasa hii itakuwa nchi kweli? Kama mtu naweza kwenda kununua VITUSI na usalama hawajui?
Makala epukana na aibu hizi
No reforms no election
Kama ni kununua virusi basi siyo chadema tu wanaweza hata wananchi wa kawaida wanaweza.
 
Hachelewi kusema walimnukuu vibaya.
Ndo mambo ya siasa, hawajawai kuwa serious ila hili la MPOX na Ebola hamna mtu analikubali. Ongea sera za chama chako kwa wananchi mambo ya majungu majungu ndo haya analeta mpaka kwenye platform. CCM wanaweza kusema kauli ya Makala siyo msimamo wa chama
 
Usimdharau Makala WA Tanzania bado ni wajing
 
Usimdharau Makala WA Tanzania bado ni wajing
Siyo sana, sasahivi population ya Tanzania asilimia kubwa ni Gen Z sasa Makala anadhani alikuwa anaongea na hao kina mama waliokaa hapo chini anasau CCM ni platform na inasikilizwa na watanzania wote so alichoongea ndo saa kinazungimzwa Tanzania nzima.
 
Abanwe vizuri aseme ushahidi anao?👿 soon na yy utasikia "....kabla ya kuongea nilikuwa nimekunywa kidogo..."
 
Abanwe vizuri aseme ushahidi anao?👿 soon na yy utasikia "....kabla ya kuongea nilikuwa nimekunywa kidogo..."
Wamesahau hizi ni zama zingine, unapokuja mbele ya watu na ukasema jambo, inapaswa kuhakikisha una make sense hasa kwa kiongozi wa hadhi kama yake na kwa platform kama CCM. KAMPENI MWAKA HUU SIYO BUSINESS AS USUAL, watu wanaweza kukuachia mkutano wakaondoka ukileta dhihaka
 
Kweli tupu!!👿 upinzani inabidi wanyoke naye mazima!!
 
Ni kuingia tu darasani eti, ndio maana watu kama kina doto magari wanadharau wasomi, kama wasomi wenyewe ndio hawa hao wasiosoma sijui tunategemea waweje
ni janga kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…