Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

Tanzanian most trusted elites
 
Nahis kuna uhusiano wa watu wenye miili mikubwa wote walioko ccm na kuwa majinga majinga
 
The time is already here. Ni sisi tu kubadilika ila Kuna kizazi lazima kufutike kwanza Ili maendeleo yaje
No offense seems like kauli ngumu but kuna kizazi(wanajijua) ndio wana tu hold back. Lazima waondoke hao
 
Mkuu ni mwendo wa sarakasi.
 
Ht we umeelimika? Nyumbu tu wewe
 
Lakin pia inawezekana ni plani ya watawala kuvileta hivyo VIRUS ili wawasingizie chadomo.

Maana kwa namna viongoz walivyo bize na position zao wanaweza watoa sadaka wananchi wao na taifa kwa ujumla ilimradi waendelee kupiga mitikasi yao.
Kama wameshauriwa na ma think tanks wao kwamba kuleta hivyo VIRUS kutawafanya waidhibit chadomo hilo suala watalifanya upesi kwa haraka.
 
Huyu jamaa pamoja na CPA yake lakini kumbe ni Mbwira kiasi hiki
 
Alietoa hii kauli akamatwe na kuhojiwa , siasa zisitufikishe kubaya ,uyu amestess nchi , ni wakati wa kusimama kama nchi nakumtaka kuamia Burundi, period
 
Alietoa hii kauli akamatwe na kuhojiwa , siasa zisitufikishe kubaya ,uyu amestess nchi , ni wakati wa kusimama kama nchi nakumtaka kuamia Burundi, period
Hivi sasa tumtake ahamie,sudani ama kongo walao analochaguo zaidi ya moja ama kwa kumhurumia tumpe na chaguo la sudani kusini.
 
Kwa CCM huyo ni tegemeo lao hana pa kwenda, utaona wakianza kumsafisha
Kama ndo hivi ,yameisha timia ,ccm inakufa kifo kibaya sana, alafu wenda anategemewa kama think tank ya ccm, ashitakiwe kwa jina finafsi ndani na nje ya nchi, alilosema sio la tz tu linagusa Dunia nzima ,

Anatakiwa eleza ,ayo madudu washa yanatengenezwa nchi gani, na kwa lengo lipi katika Dunia ikiwemo tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…