Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amezungumzia mabadiliko mapya ya sheria kuhusu haki za Wafungwa kupiga kura ambapo amefafanua kuwa kwa sasa Wafungwa wenye vifungo vya chini ya miezi sita wataweza kushiriki katika uchaguzi wakiwa Gerezani.
Amesema, "Lakini pia wasimamizi wa uchaguzi badala ya kuwa viongozi watakua maafisa waandamizi wa umma, lakini mabadiliko yako mengi ni kwamba katika sheria hata wafungwa watapiga kura. Narudia kama mlikuwa hamjui, ndio mabadiliko ya sheria. Wafungwa ambao kifungo chao hakizidi miezi sita watapiga kura wakiwa magerezani. Hivo hivo kwa upande wa Zanzibar wanaiita vyuo vya mafunzo ndio magereza yenyewe na mahabusu."
Makalla ameyasema hayo siku ya Alhamisi Machi 06, 2025 wakati akizungumza na Wananchi pamoja na Viongozi wa CCM katika katika Mkutano wa ndani uliofanyika kwenye Uwanja wa Toto Tundu uliopo Segerea Wilaya ya Ilala Dar es saam ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku tano Mkoani humo.
Aidha CPA Makalla alieleza kuwa ni muhimu kwa Wataalamu wa sheria kuwa na ufahamu wa mabadiliko haya ya kisheria kwani bado kuna baadhi yao ambao hawaoni umuhimu wa haki hii mpya kwa Wafungwa.
Kila siku huwa tunasema kuwa CCM ndiyo tume ya uchaguzi, na tume ya uchaguzi ni iliyopo ni geresha tu. Kila kitu kinapangwa kutolewa ufanunuzi na CCM. Bila shaka hili la wafungwa kupiga kura ni mkakati wa kuweka vituo feki vya kuongeza kura za CCM

Aidha CPA Makalla alieleza kuwa ni muhimu kwa Wataalamu wa sheria kuwa na ufahamu wa mabadiliko haya ya kisheria kwani bado kuna baadhi yao ambao hawaoni umuhimu wa haki hii mpya kwa Wafungwa. View attachment 3261448
CHANZO: Millard Ayo
Yaani CCM mmekuwa kituko.ndio maana tunataka mabadiliko. siku zote tuliwaambia chaguzi zote zilizopita mlisimamia CCm.na hii mmejionyesha wazi.sasa mmekuwa tume huru ya Uchaguzi.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amezungumzia mabadiliko mapya ya sheria kuhusu haki za Wafungwa kupiga kura ambapo amefafanua kuwa kwa sasa Wafungwa wenye vifungo vya chini ya miezi sita wataweza kushiriki katika uchaguzi wakiwa Gerezani.
Amesema, "Lakini pia wasimamizi wa uchaguzi badala ya kuwa viongozi watakua maafisa waandamizi wa umma, lakini mabadiliko yako mengi ni kwamba katika sheria hata wafungwa watapiga kura. Narudia kama mlikuwa hamjui, ndio mabadiliko ya sheria. Wafungwa ambao kifungo chao hakizidi miezi sita watapiga kura wakiwa magerezani. Hivo hivo kwa upande wa Zanzibar wanaiita vyuo vya mafunzo ndio magereza yenyewe na mahabusu."
Makalla ameyasema hayo siku ya Alhamisi Machi 06, 2025 wakati akizungumza na Wananchi pamoja na Viongozi wa CCM katika katika Mkutano wa ndani uliofanyika kwenye Uwanja wa Toto Tundu uliopo Segerea Wilaya ya Ilala Dar es saam ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku tano Mkoani humo.
Aidha CPA Makalla alieleza kuwa ni muhimu kwa Wataalamu wa sheria kuwa na ufahamu wa mabadiliko haya ya kisheria kwani bado kuna baadhi yao ambao hawaoni umuhimu wa haki hii mpya kwa Wafungwa.
Makala kuwa makini , kumbuka hakuna atakae ishi milele , jitengenezee utukufu wa Mbingu , acha jifariji na anasa za Dunia ,Mungu anakuonya mara moja na chukua hatua sio ombi ni lazima ,utaki shauri yako
Msaada
Wana jamii hbr za majukumu.
kuna jamaa alikwenda kwa dada angu kuomba kuazimishwa kias cha pesa..sept 2024..akiahid kurejesha 27 October 2024...lkn muda wa kurejesha ulipowadia yule jamaa hakurejesha na akawa mtu wakuahid tareh za kulipa lkn halipi... January 2025 dada alienda ofisin kwake kudai pesa yake...yule jamaa Alitaka kumpiga ikabidi dada ashitikishe selikar za mtaa..wakamuita yule jamaa akahidi atalipa tar 4 March 2025...na dhamana akahidi n asets zilizopo ofisin kwake huyo jamaa ana stationers/library. majuzi ya tar 3 km alivoaidi ndio atalipa.huyo jamaa hakuwa na taarifa yeyote, kuhusu kulipa.ikabidi tar 4 dada afike ofisin kwake..alivyofika akawakuta vijana wawil na yule jamaa wa3...yule jamaa akamwambia sina pesa ya kukulipa.dada akamwambia km huna chakunilipa mimi naondoka na laptop ukipata pesa niletee nikupe laptop yako,kwan dhamana uliweka hiz asets..dada alivyoishika ile laptop wale vijana wakaanza kumpiga dada..dada ikabidi atoe taarifa polis,polisi walifika eneo la tukio wakamchukua dada na wale vijana wa3..waliwafikisha kituon wale vijana wakafunguliwa kesi ya kupiga na kudhulu mwili.. dada alipewa pf3 akaenda kutibiwa huku polisi wakimtaka arejee tar 5 asubuhi...(wale vijana walipata dhamana siku hiyohiyo...)tar 5 asubuh polisi waliwapeleka mahakani na wale vijana kusomewa mashtaka yao walikana shtaka na kesi kupangiwa tar.. wakat wanatoka mahakandada alifuatwa na polis wakike alijitambulisha kuwa yy n polis kutoka central polisi ana RB yake..anatakiwa kufika kituon..(hicho kituo cha polisi n tofauti na alichopelekwa dada awali)dada akaenda alivyofika akaambiwa ameshatakiwa kwa kosa la kufanya fujo na kuvunja mali ikiwemo laptop,cm 2,CPU,speaker..vyote vinathaman ya milion 3..polisi wakamtaka dada kufika tar 6 asubuh ..dada alivyofika wakampeleka mahakamani...
=>Jion ya tar 6 kuna mtu alifika kwenye ile ofisi kwa malengo ya kujiridhisha...alifika km mteja alimuuliza mwenye ofisi km kuna uharibifu wa chochote ndani ya ofisi yake amuoneshe na ataje thamani vilivyoharibiwa..mwenye ofisi akamjibu hakuna kilichoharibika na ofisi inafanya kazi km kawaida..yule bwana akapiga picha ya vitu vilivyodaiwa kuharibiwa nakuondoka.(naviambatanisha)
Mwenye kujua jins ya kudeal na hizi kesi zakubambika tunazikomeshaje???inaniuma sana sana dada angu anadai pesa yake,anapigwa,nakubambikwa kesi ya uvunjifu wa mali na sasa anaedaiwa anataka kulipwa yy milion 3.