Makalla: Wapo wanasiasa walikuja wakasema maneno ya uchochezi kwamba Serikali ya CCM inanyanyasa wavuvi

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chanzo cha Ziwa Tanganyika kufungwa kwa muda ni kuongeza mazalia ya samaki na si kuwanyanyasa wananchi kama baadhi ya wanasiasa wanavyodai.

Makala amesema hayo jana Jumapili Agosti 4, 2024 katika ziara ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi mkoani Kigoma.
Soma pia: Amos Makalla: Leteni kero za kweli sio fitina
Your browser is not able to display this video.

 
Bumunda lingine hili takataka kabisa hii
 

Attachments

  • Screenshot_20240404-141029~2.jpg
    122 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…